By subscribing to Quotes Digest you are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use.
Sina jinsi. Nguzo ya maisha yangu ni historia ya maisha yangu. Historia ya maisha yangu ni urithi wa watu waliojifunza kusema hapana kwa ndiyo nyingi ? waliojitolea vitu vingi katika maisha yao kunifikisha hapa nilipo leo ? walionifundisha falsafa ya kushindwa si hiari. Siri ya mafanikio yangu ni kujitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu wote; au 'pushing the envelope' kwa lugha ya kigeni.
- Enock MaregesiPhoto by Daniel Seßler on Unsplash
Sina jinsi. Nguzo ya maisha yangu ni historia ya maisha yangu. Historia ya maisha yangu ni urithi wa watu waliojifunza kusema hapana kwa ndiyo nyingi ? waliojitolea vitu vingi katika maisha yao kunifikisha hapa nilipo leo ? walionifundisha falsafa ya kushindwa si hiari. Siri ya mafanikio yangu ni kujitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu wote; au 'pushing the envelope' kwa lugha ya kigeni.
- Enock MaregesiUkitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa...
Palestina ni nchi ya Waisraeli waliyopewa na Mungu wa Yakobo. Hata hivyo,...
Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli....
Kuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni...
...the fundamental things in a man are not the things he explains, but rather...
Some way some how i'm going to be happy i'm going to laugh i'm going to...
Wisdom is the oneness of mind that guides and permeates all things.
There is nothing deep down inside us except what we have put there ourselves.
It's a long journey. There will be good times, and there will be bad times, but SoftBank is always there.
By subscribing to Daily Mail Quotes you are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use.