By subscribing to Quotes Digest you are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use.
Palestina ni nchi ya Waisraeli waliyopewa na Mungu wa Yakobo. Hata hivyo, hawakutimiza masharti. Mungu aliwaagiza kuua kila mtu katika nchi ya Kaanani na miji yake yote. Waisraeli, wakiongozwa na Yoshua, waliua watu wengi katika nchi ya Kaanani. Hawakuua kila mtu katika miji ya Ashdodi, Gathi na Ukanda wa Gaza kama walivyoagizwa. Mungu alimwambia Ibrahimu kuwa angempa yeye na uzao wake nchi ya Kaanani kuwa milki yao ya milele, na kuwa Yeye ndiye angekuwa Mungu wao daima. Vita ya Israeli na Palestina itamalizwa na Mungu. Itamalizwa na hekima.
- Enock MaregesiPhoto by Cristina Gottardi on Unsplash

- Enock MaregesiKuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni...
Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli....
Ukitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa...
Sina jinsi. Nguzo ya maisha yangu ni historia ya maisha yangu. Historia ya...
The most important thing is God's blessing and if you believe in God and you...
Unless you understand the pain and sufferings of the people, trees, birds and...
All things therefore are charged with love, are charged with God and if we...
Man is timid and apologetic; he is no longer upright; he dares not say "I...
By subscribing to Daily Mail Quotes you are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use.