By subscribing to Quotes Digest you are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use.
Sina jinsi. Nguzo ya maisha yangu ni historia ya maisha yangu. Historia ya maisha yangu ni urithi wa watu waliojifunza kusema hapana kwa ndiyo nyingi ? waliojitolea vitu vingi katika maisha yao kunifikisha hapa nilipo leo ? walionifundisha falsafa ya kushindwa si hiari. Siri ya mafanikio yangu ni kujitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu wote; au 'pushing the envelope' kwa lugha ya kigeni.
By subscribing to Daily Mail Quotes you are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use.